Mahubiri

Sauti Ya Uzima Radio 101.5 FM

Sauti ya Uzima Radio 101.5 ilizinduliwa 2019 katika mji wa Morogoro, Tanzania. Program zetu pamoja na musiki zetu zipo katika Kiswahili na Kingereza. Pia tuna program mbali mbali ambazo tunarusha “LIVE” kila siku. Sauti ya Uzima Radio ni redio bora na tunatamani usikie na kujengwa. Bonyeza kitufe hapo juu kusikiliaza redio yetu!